Skip to main content

Real Madrid 3, Getafe 1. CR7 akipiga mawili na kuweka rekodi ya magoli 300 kwa muda mfupi zaidi ya Lionel Messi

Real Madrid C.F. 3, Getafe C.F.1. Cristiano Ronaldo aweka rekodi.
Huku CR7 akifikisha jumla ya magoli 300 ya La Liga akivunja rekodi ya Lionel Messi ambaye naye alishafikisha idadi hiyo hiyo ya magili lakini katika mechi 334 wakati C. Ronaldo ametumia mechi 286 kufikisha idadi hiyo ya magoli.

Comments

Popular posts from this blog

Ni Sawa Kwa Man City Kumuuza Mario Balotelli?

Ni mchezaji mwenye purukushani za kutosha awapo uwanjani. Purukushani zake ni za aina mbili. Zipo zile zinazoisaidia timu yake ya Man City pamoja na timu yake ya taifa ya Italy. Lakini pia zipo zile zinazowafanya siyo washabiki wa soka tu wakereke bali pia hata makocha wake. Lakini Balotelli ni mchezaji mwenye kipaji cha cha pekee kwa miongoni mwa wachezaji wa umri wake. Lakini sports director wa Man City, Brian Marwood, alikuwa na haya ya kusema kumuhusu Balotelli.   “I think that it’s important to make a good example. I think – and we all know who we are talking about – that you will get people within the system who do not show the right values and the right behavior. “In the main, we have a ­fantastic group of players here. I look at Pablo Zabaleta , I look at Vincent Kompany , I look at Joe Hart, Gareth Barry and Joleon Lescott. “I think we have a lot of players who can behave in the right way. You just have to make sure that they are the role models.” Katika ma

Joti naye auaga ukapera

Msanii wa maigizo ya vichekesho nchini maarufu kama Joti nae ameliaga kundi la makapera baada ya kufunga ndoa. Msanii Joti pia ni maarufu sana katika matangazo ya mtandao wa Tigo. Joti pia ni maarufu sana katika kuigiza sehemu mbalimbali kwani mara nyingi huigiza kama kijana wa kawaida, babu, mtoto na wakati mwingine huigiza kama msichana. Hongera sana Joti kwa kuoa! May your marriage last forever!