Aston Villa wakubali kichapo nyumbani. Wapigwa 2-3 na Spurs; Arsenal nao wawashughulikia vizuri Newcastle United. Wawachapa 4-0 February 16, 2020 International News