Anaitwa Ye Shiwen (16) kutoka China, alikimbia mbio za wanawake za mita 400
na kuweka rekodi ya dunia kwenye mashindano ya Olimpiki huko London, Uingereza siku ya Jumamosi.
Alikimbia kwa dakika 4 na sekunde 28 na kuifuta rekodi ya awali ya dakika 4 na sekunde 29
iliyowekwa na Mu australia Stephanie Rice miaka minne iliyopita.
Comments