Walimu nchini Tanzania wameanza mgomo wao leo wakidai malipo mazuri wakiungana na madaktari kudai nyongeza ya mishahara wakidai hali ya maisha kupanda. Shule nyingi za serikali zililazimika kusitisha ufundishaji kwa sababu walimu walibaki nyumbani.
Walimu wapatao 200,000 nchi nzima walikubaliana kugoma huku wakipuuza onyo la Rais aliyedai mgomo huo siyo halali.
Inasemekana yapata asilimia 95.7 ya walimu walipigia kura mgomo, hivyo kuufanya mgomo huo kuanza rasmi leo.
Mr. Mukoba alisema kuwa hata kama serikali imewataka walimu kuripoti kazini na kufundisha, lakini hawatafundisha. Aliongeza kusema kuwa mgomo wao ni halali kwani walifuata taratibu zote ili ufanikiwe.

Gratian Mukoba, Rais wa Umoja wa Walimu Tanzania

Comments