Alijulikana kama mfalme wa pop duniani. Alikufa akiwa na miaka 50.
Picha hizo zinaonesha matukio yake mbalimbali ya kimuziki
tangu akiwa mdogo hata mtu mzima.
Kifo chake kilishtua watu wengi sana
duniani na kuhuzunisha wengi pia.
Ni miaka mitatu sasa tangu afariki.
Lakini muziki wake mwanamuziki huyo aliyekwishawahi
kutembelea Tanzania miaka ya nyuma, bado unashika kasi duniani
Picha ya hapo juu ni siku ya mazishi yake,
watu wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi lake.
Picha hizi za utoto wake zikionesha kabla hajaamua
kujifanyia marekebisho ya sura yake.
Hii ni moja ya staili zake za kucheza ambazo
ziliwavutia watu wengi sana akiwa jukwaani
Source: CNN
Comments