Timu ya soka ya Spain ambao ni mabingwa wa Ulaya na Dunia jana Jumapili ilitolewa nje ya mashindano kwenye Olimpiki ya 2012 baada ya kupigwa na timu ya Honduras 1-0 kwenye uwanja wa Newcastle"s St. James Park.
Goli lililofungwa na Jerry Bengtson katika dakika ya 7 ndilo lililowapeleka nje ya mashindano hayo wahispania hao waliokuwa kundi D.
Bengtson aliruka na kufunga goli kwa kichwa baada ya kupokea krosi iliyochongwa na Roger Espionaza na kumpita golikipa anayesakata kabumbu Manchester United David de Gea.
Picture source: AFP

Comments