Yanga ya Dar leo inakutana na Azam zote za Tanzania katika mtanange wa kukata na shoka wa fainali za kombe la Kagame kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Washabiki wa soka la Tanzania leo wanatarajia kupata burudani nzuri sana hasa kwa kuzingatia ubora wa timu hizo waliouonesha wakati wa mechi za makundi, robo fainali pamoja na nusu fainali.
Katika robo fainali Yanga ilimtoa nje ya mashindano hayo timu ya Mafunzo kutoka Zanzibar, wakati Azam wao walimtoa Simba ya Dar. Nusu fainali Yanga walimtimua mashindanoni APR ya Rwanda na huku Azam wakimfungisha virago timu ya AS Vital toka kule nchini Congo.
Timu zinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo leo:-
Azam: Deogratius Munishi, Aggrey Morris, Erasto Nyoni, Said Mourad, Ibrahim Shikanda, Ibrahim Mwaipopo, Abubaker Salum, Kipre Tchetche, Jabir Aziz, Ramadhan Chombo, John Bocco.
Yanga: Ali Mustafa, Nadir Haroub, Kevin Yondani, Haruna Niyonzima, Shamte Ali, Rashid Gumbo, Athumani Iddi, Oscar Joshua, Godfrey Taita, David Luhende, Saidi Bahanuzi. (Huku Yaw Berko akiwa bado anauguza majeraha?
Nani zaid leo? Yanga? Azam?
Timu gani unataka ishinde leo? Yanga? Azam?
Toa maoni yako!

Comments