Cristiano Ronaldo na Jose Mourinho wanasemekana kuwa ni watu muhimu sana kwa yale wanayoyafanya.
Ronaldo anaweza kuwa mchezaji bora wa mwaka na mara kwa mara huitwa mchezaji bora. Mourinho anafanana naye kwani hutajwa sana kama kocha bora wa soka.
Ronaldo anaendelea kuvunja rekodi na anadhaniwa na wengi kwamba ni mchezaji bora wa soka duniani. Meneja wake tayari ameshashinda makombe ya Champions League na katika nchi mbalimbali ameshashinda makombe ya ligi.
Kwa sasa watu hawa wawili wanaotazamwa na dunia wako kwenye timu moja ya Real Madrid, hivyo hufanya kutokea kwa swali-Nani ni muhimu zaidi ya mwenzake kwenye timu hiyo?
Swala hili linaweza kuleta mabishano mengi kwa pande zote mbili, lakini pia linaweza kuleta wazo moja muhimu ya kwamba hakuna kilicho muhimu kwa Madrid zaidi ya mafanikio. Nayo ni kwamba kikosi kizima cha Madrid na wale wanaompa Mourinho nguvu wote wana wajibu wa kuleta mafanikio kama walivyo Ronaldo na Mourinho.
Wewe mjadala wako ukoje juu ya watu hawa wawili;

Cristiano Ronaldo
Na
Kocha Jose Mourinho
Source: Bleacher Reports
Comments