Fernando Torres anauhakika kwamba ataziba pengo la Drogba kufuatia Mchazaji huyo toka Ivory Coast Kuuzwa huko Uchina kwenye timu ya Shanghai Shenhua.
Drogba alijiunga na timu hiyo ya China baada ya kufunga magoli 157 kwenye timu yake ya Chelsea ndani ya miaka 8.
Torres amesema yupo tayari kuiongoza Chelsea kwenye Champions League na kwamba anayapenda hayo majukumu na amekuwa akifanya hivyo maisha yake yote.
"Mahusiano yetu yalikuwa ni mazuri na nilikuwa naongea naye alipoamua kuondoka Chelsea, akanitakiwa mafanikio mazuri na kwamba huenda siku moja watu watanikumbuka mimi kama wanavyomkumbuka yeye." Aliyasema Torres Julai 28 mwaka huu.
Mpaka sasa tayari matunda ya juhudi zake yameanza kuonekana kwani ametokea kuwa ni mchezaji muhimu Chelsea kwa lengo lake la kufunga magoli.

Comments