Skip to main content

Arsenal Dhidi ya Chelsea Kesho

Muda muafaka wa kutazama kandanda safi la EPL umewadia hasa tukiitazama Arsenal hususan baada kuwa tayari wsalikutana na Manchester City na kuonesha kandanda safi sana. Sasa Arsenal watapambana kesho na Chelsea.

Huu ni mtihani mwingine kwa timu ya Arsenal na kocha wao Arsene Wenger. Chelsea wakiwa na wachezaji wao kama akina Eden Hazard, Oscar and Fernando Torres, wote wakiwa kwenye hali nzuri ya kimchezo na kiafya, sehemu ya ulinzi ya Arsenal itakuwa na wakati mgumu sana kuhakikisha hakuna madhara yatakayotokea.  

Hebu tuangalie jinsi hani Arsenal watapaswa kupambana kweli kweli illi wapate pointi 3. 
Nadhani watu wengi wamevutiwa na kiwango cha Carl Jenkinson aliyechukua nafasi  ya Bacary Sagna. Beki huyo wa kulia ameonesha maendeleo makubwa na mazuri. Alicheza vizuri pale walipopambana na Coventry katikati  ya wiki.

Walakini atakutana na changamoto nyingine tofauti kabisa dhidi ya Eden Hazard, ambaye amekuwa mchezaji mzuri sana kwwenye EPL, mwenye kuwasumbua sana walinzi kwenye ligi hiyo. 

Kama Jenkinson ataweza kuendelea na ubora wake wa kiwango chake cha hivi karibuni na kumpoteza kabisa Hazaed kwenye wing kama vile walivyofanya Stoke City wikiendi iliyopita itawawia vigumu sana Chelsea kupita kiurahisi.

Najua utapenda sana kufahamu ni nani atawekwa na Arsene Wenger kuanza kucheza kwenye wings. Msimu uliopita hata kusingekuwa na swali kama hili kwani ni dhahiri kwamba Theo Walcot angepewa nafasi ya wing ya kulia. Walakini najaribu kuwaza kwamba Wenger hitaji la mchezaji wake kuwa mshambuliaji, na kwa kuwa mkataba wa Walcot utaishia mwisho wa mwaka huu, anaweza kuwekwa kando ikli wengine wapate nafasi ya kung'ara.
 Replacements hizo zinawaweka wenye viwango vizuri kama Lukas Podolski, kushoto, Wenger anaweza kuwatumia akina Alex-Oxlade Chamberlain, Gervinho, Santi Cazorla au hata Aaron Ramsey kwa upande wa kulia. 

Arsenal wametapa ahueni kubwa baada ya kugundua kwamba John Terry kakutwa na hatia kwa ubaguzi wa rangi na chama cha FA na kufungiwa mechi nne. Hivyo kuwafanya David Luiz naGary Cahill kama chaguo pekee la beki wa katikati kwa timu ya Chelsea.  

Kwa Olivier Giroud, kama ataweza kutumia vizuri nafasi zake. Baada ya kuonekana kwenye mechi yao dhidi ya Coventry, sitashangaa endapo ataongeza kujiamini kwake.

Kwa kupambana na mlinzi kama Luiz ambaye hata hayuko kivile kwenye suala la ulinzi anaweza kutumia hiyo nafasi hasa ya umbo lake. 

Arsene Wenger sasa anakabiliwa na machagua mengi sana na inamuumiza kichwa kila wiki, ingawaje hilo ni zuri zaidi ya wale aliokuwa nao hapo awali. 
Akiwa na Thomas Vermaelen, Laurent Koscielny na Per Mertesacker wote wakiwa fit na hatari kweli kweli, hatuna uhakika nani atachemka kati yao. 


 

Comments

Popular posts from this blog

Britney Spears' Busy Vegas Weekend With New Beau. Via abc News

Britney Spears keeps it busy in Sin City. The "Scream & Shout" singer spent last weekend in Las Vegas but she wouldn't have come at all if her much-discussed Vegas residency was not a "done deal," the Las Vegas Sun reported. With new boyfriend David Lucado in tow, Spears flew to Vegas Friday and checked into Caesars Palace, the Sun reported. She attended a charity Cirque du Soleil performance, sneaking in just as the curtain went up and leaving just before the show ended. Spearstweeted a photo of herself, Lucado and her manager, Larry Rudolph, smiling in their seats together. Spears' management and production team met with executives at Caesars Entertainment Saturday, which owns Planet Hollywood, and then checked out the PH Live theater, where Brit will have her residency. Spears, Lucado and her entourage then lunched at the Meatball Spot restaurant, owned by Top Chef Seattle contestant Carla Pellegrino. The couple chowed down on meatball s...

Read What Shakira Says. Via Yahoo!

Looking at  Shakira  and her fabulous figure you might be surprised to learn it was only three months ago that she gave birth to son Milan. But the “Hips Don’t Lie” singer reveals that dropping the pounds was no cake walk. While promoting “The Voice” in Pasadena, California, on Monday, the blond bombshell revealed, "[Losing baby weight] is the only thing that’s been a little stressful … I knew I had to come back here to do ‘The Voice’ two months after I had delivered a baby. I didn’t have my four months of maternity like every woman on Earth has. I’m not trying to complain, but it’s been a process full of challenges.” Photo source: omg INSIDER & Yahoo The 36-year-old mama added that the pressure to shed the baby weight at record speed is something that she feels the previous generations didn't face. She said, “I think that our mothers and grandmothers weren’t under the pressure women of today are after delivering a baby. My dad says there’s nothing better than meat...

Jones With A Knee Surgery

Bleacher Report Writes: Manchester United defender Phil Jones is facing up to eight weeks on the sidelines after having surgery on a knee injury, the club has announced.   Jones, 20, has yet to make an appearance this season after hurting his back during pre-season and suffered this latest injury in training. "Phil Jones has had surgery on a knee meniscus tear sustained in training," said a United spokesman. "It will require six to eight weeks of rehabilitation." Jones, whose last competitive appearance for United was against Sunderland on the final day of last season, is understood to have suffered his latest injury in training earlier this week. The England international was sent for a scan on his right knee which has confirmed he requires an extensive period of rehabilitation. Jones was believed to be close to returning following back spasms when he damaged his knee. ...