Timu ya Celtic jana usiku ilionesha kwamba Barcelona si chohcote kwao baada ya kuwatungua mara mbili kwa magoli yaliyowekwa kimiani na Wanyama 'mwafrika toka Kenya' katika dakika ya 21 na Watt dakika ya 83 kabla Messi hajasaidia kuwafuta wenzake machozi kwa goli lake la dakika ya 90.
Lennon (kulia) akifurahia ushindi wa timu yake ya Celtic ukiwa ni mara yake ya kwanza kuwafunga Barcelona na wa kwanza kwenye mashindano kwenye hatua ya makundi kama meneja.
Hadi mwisho wa dakika 90 Barcelona walikuwa wamemiliki mpira kwa asilimia 66 huku Celtic wakichukua asilimia 34.
Celtic walipiga mashuti matatu nayo yalilenga goli, walipata kona mbili, na walicheza faulo tisa; huku Barcelona wakipiga mashuti 25 na 14 yakilenga goli, kona 7 na faulo 9.
na timu zilikuwa kama ifuatavyo:-
Picture source: SNS
Celtic
- 01 Forster
- 02 Matthews
- 04 Ambrose
- 06 Wilson
- 21 Mulgrew
- 23 Lustig (Watt - 72' )
- 15 Commons
- 16 Ledley
- 67 Wanyama
- 07 Miku Booked
- 09 Samaras (Kayal - 79' )
Substitutes
- 24 Zaluska
- 44 Fraser
- 20 McCourt
- 31 Herron
- 33 Kayal
- 46 McGeouch
- 32 Watt
Barcelona
- 01 Valdes
- 02 Alves
- 15 Bartra (Pique - 71' )
- 18 Alba Booked
- 06 Xavi
- 08 Iniesta
- 10 Messi
- 14 Mascherano
- 25 Song Booked (Fabregas - 71' )
- 09 Sanchez (Villa - 67' )
- 17 Pedro
Substitutes
- 13 Pinto
- 03 Pique
- 19 Montoya
- 04 Fabregas
- 12 Jonathan
- 07 Villa
- 37 Cristian Tello
Comments