Timu ya Manchester United nayo jana usiku ilifanya mauaji baada ya kuichabanga Braga magoli 3-1 kwenye mashindo ya klabu bingwa ya Ulaya kwenye hatua ya makundi na kujikita kileleni mwa kundi lao huku wanaofuatia wakiachwa nyuma kwa pointi 8.
Magoli ya Man United yalikwamishwa nyavuni na Van Persie katika dakika ya 80, Wayne Rooney katika dakika y 85 na Hernandez aka Chicharito katika dakika ya 90. Intavo ya dakika 5 kwa kila goli. Huku Braga ambao walikuwa wa kwanza kuliona lango la wapinzania wao walifunga goli lao katika dakika ya 49, goli lililowekwa kwenye nyavu na Alan.
Timu zilipangwa kama ifuatavyo:-
Braga
- 33 Beto
- 04 Nuno Andre
- 20 Echiejile (Ze Luis - 90' )
- 44 Douglao
- 05 Ruben Amorim (Barbosa - 86' )
- 14 Ruben Micael
- 25 Leandro Salino
- 27 Custodio Booked
- 45 Viana (Mossoro - 86' )
- 17 Eder Booked
- 30 Alan
Substitutes
- 01 Quim
- 15 Baiano
- 21 Ismaily
- 08 Mossoro
- 22 Djamal
- 10 Barbosa
- 29 Ze Luis
Manchester United
- 01 De Gea
- 03 Evra
- 06 Evans (Ferdinand - 58' )
- 12 Smalling Booked
- 07 Valencia
- 08 Anderson
- 11 Giggs
- 17 Nani (Rafael - 73' )
- 10 Rooney
- 14 Hernandez
- 19 Welbeck (Van Persie - 64' )
Substitutes
- 13 Lindegaard
- 02 Rafael
- 05 Ferdinand
- 16 Carrick
- 18 Young
- 23 Cleverley
- 20 Van Persie
Comments