Yule msanii maarufu sana hapa nchini kwenye tasnia ya filamu za bongo maarufu kama "Bongo Movie" Elizabeth maarufu kama "Lulu" aliachiliwa kwa dhamana jana.
Wanashindwa kuamini
Lulu akiwa anatoka
Lulu akiwa mahakamani
Lulu ambaye alihusishwa na mauaji ya aliyekuwa muigizaji maarufu nchini Kanumba alionekana kulengwalengwa na machozi pale alipotoka na kukutana na watu nje kwa mara ya kwanza tangu aliposwekwa ndani.
Comments