Hivi ndivyo viwanja vya soka nchini Afrika ya Kusini.
Tazama jinsi vilivyoundwa kwa ustadi.
Inawezekana ikawa ndiyo
sababu kubwa ya timu nyingi
zilizoenda kwenye mashindano ya
AFCON kufanya vizuri.
Kiwanja chetu ambacho kilijengwa
miaka kadhaa kule Dar es Salaam ndicho
pekee tunachojivunia nacho japo
kimekumbwa na uharibifu
mara kadhaa toka kwa mashabiki
wenye vurugu zisizo na msingi hapa nchini.
Swali ni kwamba; hapo walipofika wenzetu, ipo siku nasi tutafika? Toa maoni yako.
Comments