Amesema, "Siku zote nimesema nina furaha nikiwa Barca. Yeyote anayesema mimi naondoka hanijui vizuri na hajawahi kuongea na mimi.
“Hawajaongea hata na agenti wangu, bec Hause anafahamu kuwa sitaki yeye aongee na watu kuhusu mimi."
“Huwa siongei mambo yangu hata na familia yangu. Kama mtu anaongea kuwa sitaki kucheza Barca, ana shida huyo."
Comments