CHADEMA: Mlipuaji wa Bomu la Arusha ni Polisi, Hatukubali mauaji ya aina hii tena
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 18/06/2013 Makao Makuu ya CHADEMA amesema CHADEMA inao ushahidi wa video kuwa aliyelipua bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha ni Polisi na Polisi wenzake wakamsaidia kutoroka
Source: chadematv
|
Brings You Global News!

Comments