Baada ya Skylar kupata degree katika chuo cha Notre Dame’s Mendoza College of Business, alipewa zawadi ya gari mpya aina ya Mercedes Benz na
handwritten note toka kwa Jay.
Na huyu kwenye picha ya juu na chini ndiye Skylar Diggins, ambaye
pamoja na kisomo chake pia anacheza basketball.
Hii hapa chini ndiyo Benz yenyewe.
Na baada ya kupokea zawadi hiyo akaishea online na kuandika maneno haya "Got surprised with a new mercedes! Thanks so much to Jay and @rocnation, and @dancyautogroup!"Source: NicoleBitchie & Singersroom
Comments