Haya ndiyo aliyosema kocha huyo mpya wa Bayern Munich Pep Guardiola:
"Nimewaomba Sammer na Rummenigge mchezajiI. Sijui nini kitatokea baaye lakini ningependa aje kwangu."
"Thiago ni mchezaji pekee ninayemuhitaji, ndicho nilichowaambia. Aidha yeye ama hapana kabisa."
"Tuna wachezaji wengi lakini tunahitaji wenye vipaji maalumu naye ndiyo Thiago Alcantara."
"Timu itaamua. Niliwaambia mapendekezo yangu. (Ninamuhitaji yeye) kwa sababu anatoka Barcelona. Ninamfahamu, ni mzuri sana. Amekuwa pamoja nami Barcelona B."
"Sidhani kusajili kiungo mwingine itakuwa ni tatizo. Niliongea na timu kuhusu huu mradi wangu na kuwajulisha kwa nini namuhitaji Thiago Alcantara."
“Hakuna mtu atakaeondoka Barcelona, labda kama anahisi mwenyewe kutocheza sana kwenye timu. Thiago anataka kucheza. Na ndiyo maana nikampendekeza."
Haya sasa, hayo ni ya Guardiola wa Bayern Munich. Man United pia wanamuhitaji Thiago. Unadhani ataenda wapi?

Comments