Skip to main content

Hawa Ndiyo Wachezaji wa Man United Waliopewa Kazi ya Ukocha Old Trafford

Kulia: Phil Neville. Kushoto: Ryan Giggs.

Manchester United wamewatangaza maveterani winga Ryan Giggs kuwa kocha mchezaji na mlinza wa zamani wa timu hiyo Phil Neville kuwa kocha wakati meneja mpya wa timu hiyoDavid Moyes akijaribu kuweka muonekano mpya wa timu hiyo ambao ndiyo mabingwa wa English Premier League msimu uliopita wa 2012-2013. 

Giggs mwenye miaka 39 anasemekana kuwa mkongwe wa Old Trafford, amecheza mechi 900 kwa klabu yake ya Manchester United tangu mwaka 1991alipojiunga. 

Giggs aliyeshinda EPL na klabu yake hiyo mara 13 aliongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu yake mwezi Machi 2012-2013 na sasa atakuwa kocha mchezaji hivyo kuingia moja kwa moja kwenye stafu ya makocha. 

Mara kwa mara Giggs alitajwa kama aliyetarajiwa kuwa meneja wa baadaye wa Man United, amekuwa akichukua mafunzo ya ukocha na sasa anatarajia kupata leseni ya UEFA. 

Baada ya kuteuliwa kama kocha Giggs alisema, "It's a great privilege to be appointed a player-coach. I hope I will be able to bring my experience to bear, having been both a player and part of the Manchester United family for so long. It's no secret that I have been taking my qualifications and I see this as the first step in my future career. I'm really looking forward to working alongside David and the team."

Naye David Moyes, meneja wa Man United alisema,  "I'm delighted that Ryan has accepted the chance to become player-coach. His success and ability to adapt his game over a number of years gives him an unrivalled perspective on the modern game.
"His career is an example to any aspiring young player and I'm sure that both he and the players will benefit from his new role."

Na haya ndiyo aliyoyanena Phil Neville, 
"When I retired from football, I knew that I wanted to continue in the game," he said.
"It's something that I have been preparing for over the last few years. So, when David called to give me this opportunity, I couldn't resist. I gave my all for Everton but it is no secret that this club is in my heart.
"I've really enjoyed working with David and his staff as a player and I think that, together with Ryan, we can make a real contribution to Manchester United."

Comments

Popular posts from this blog

These are Said to Be the Best Goalkeepers in the World, Ranking from 1-25

25. Stephane Ruffier, Saint-Etienne Had Stephane Ruffier not sustained a groin injury in 2011, Monaco might never have been relegated to Ligue 2. But he did, and they were, and that summer the then-24-year-old goalkeeper joined Saint-Etienne, rebuffing Manchester City in the progress. This season he played all 38 Ligue 1 matches for Les Verts for a second season in succession, conceding just 32 goals as his side finished a surprising fifth in the standings and qualified for the Europa League. 24. Pepe Reina, Liverpool Only Joe Hart kept more Premier League clean sheets than Pepe Reina in 2012-13. In a season that saw Liverpool finish a disappointing seventh in the English top-flight, the 30-year-old managed to keep things respectable from a defensive standpoint, conceding only 34 goals and stopping 88 per cent of the shots he faced. To finish the season he conceded just a single goal in his last four matches. 23. Mariano Andujar, Catania Only Parma managed ...

Hawa Ndiyo Real Madrid Waliowafunga Man City Champions League Jana Usiku

Man City wakiwa wanaongo za kwa 2-1 dhidi ya Real Madrid huku zikiwa zimebaki dakika si zaidi  ya tatu walionekana kama ingekuwa ni timu ya tatu ya Uingereza kuifunga Madrid kwenye uwanja wa Bernabeu. Lakini vijana hao wa Mancini badala ya kuinza kampeni yao kwa ushindi walijikuta wakiachwa nyuma na kuwaangalia Madrid wakiibuka na ushindi baada ya Karim Benzema kusawazisha na kisha Cristiano Ronaldo kufunga goli la tatu na la ushindi, goli lililomfanya bosi wao Jose Mourinho kuslide uwanjani akishangilia goli hilo na Ronaldo. This was the real happiness now from Ronaldo BBC football pundit Robbie Savage alikuwa uwanjani huku Bernabeu. (quoting from BBC SPORTS) "Maicon was not at the races at all in the first half at right-back. He was a passenger and it was like City were playing with 10 men. Cristiano Ronaldo kept coming inside him. "In the second-half, Vincent Kompany looked at what was happening and came across to that wing more. Ronaldo did not...

MANCHESTER UNITED VS CHELSEA #EPL TODAY AT OLD TRAFFORD STADIUM

MANCHESTER UNITED vs CHELSEA FC LEO #EPL USIKOSE NA USIKUBALI KUSIMULIWA #TheBattleAtOldTrafford:  Jioni ya leo miamba ya kabumbu la Uingereza inakutana katika mpambano unaotarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua. Manchester United leo wanawakaribisha mahasimu wao Chelsea pale Old Trafford kwenye mchezo wa round ya pili ya Premier League. Ikumbukwe kuwa Katika mchezo wa kwanza walipokutana pale Stamford Bridge Chelsea waliwanyuka Man United 1-0,  goli lililofungwa na Alvaro Morata kwa kichwa. Kuna kama kauadui flani hivi kati ya makocha Antonio Conte wa Chelsea na José Mourinho wa Man United. Na huu ni uhasimu ambao kila mmoja wao anajaribu kuuficha na kuonesha kuwa hawana shida kati yao. Mourinho amenena kuwa game kati ya timu hizi mbili ni ya kawaida kwake kama game nyingine nyingine na hakuna chochote special kuihusu. Lukaku, Rashford, Martial,  Matic,  Pogba, De Gea  na wengineo wanategemewa kuongoza kikosi cha man United leo huku Morata, Fabregas, Pe...