Timu nne za mpira wa miguu zimesimamishwa kucheza soka nchini Nigeria baada ya mechi zao kuleta matokeo ya utatanishi kwa mechi hizo kumalizika kwa 79-0 na 67-0.
Kwa mujibu wa chama cha soka nchini humu (NFF), chama hicho kilisema kuwamech hizo zilihusisha timu za Plateau United Feeders waliwafunga Akurba FC 79-0, na Police Machine waliwafunga Babayaro 67-0 FC.
Chief Mike Umeh, mwenyekiti wa NFF organising committee, alisema: "haikubaliki kabisa. Hii ni shutuma kubwa sana. Timu hizi nne zinasimamishwa mara moja na kusubiri uchunguzi ufanyike.
Mh... Hii kweli kali. Hivi jambo hili likitokea hapa bongo itakuwaje? Naomba maoni yako!
Kwa mujibu wa chama cha soka nchini humu (NFF), chama hicho kilisema kuwamech hizo zilihusisha timu za Plateau United Feeders waliwafunga Akurba FC 79-0, na Police Machine waliwafunga Babayaro 67-0 FC.
Chief Mike Umeh, mwenyekiti wa NFF organising committee, alisema: "haikubaliki kabisa. Hii ni shutuma kubwa sana. Timu hizi nne zinasimamishwa mara moja na kusubiri uchunguzi ufanyike.
Chief Mike Umeh
Comments