Skip to main content

Bayern Munich ni Zaidi ya Chelsea. Poor Chelsea! Zikiwemp Picha 6 za Game.



Bayern Munich wamelipa kisasi cha kufungwa mwaka 2012 kwenye mashindano ya Champions League final kwa kuwachapa Chelsea waliokuwa 10 uwanjani kwa penati 5-4 kwenye UEFA Super Cup final, mechi iliyoishia kwa 2-2 ndani ya dakika 120.



Javi Martinez wa Bayern alisawazisha kwenye dakika ya 121 na kusababisha mchezo upelekwe kwenye mashuti ya penati. Ndipo aliposikika Pep Guardiola akisema,  "Dakika moja imebadilisha kila kitu, nimefurahishwa sana na wachezaji wangu." 



Wafungaji walikuwa kama ifuatavyo

dak 120

Bayern Munich
Frank Ribery
Javi Martinez

Chelsea
Fernando Torres
Eden Hazard

Penalties
Bayern Munich
David Alaba
Toni Kroos
Philipp Lahm
Frank Ribery
Xherdan Shaqiri

Chelsea
David Luiz
Oscar
Frank Lampard
Ashley Cole



Jambo lingine unalopaswa kufahamu ni kwamba Frank Ribery ali dedicate goli lake kwa Boss wake Pep.

Ribery aki dediacate goli kwa Boss wake Pep
     
Kipa wa Bayern Munich, Manuel Neuer akipangua penalty ya Romelu Lukaku

Comments

Popular posts from this blog

MAKUNDI CHAMPIONS LEAGUE NA SHIRIKISHO AFRIKA

Yanga Sc kundi A Klabu Bingwa Afrika na Simba Sc kundi A Shirikisho Afrika. Hapo chini ndio mpangilio wa makundi na timu zake. Je, nani kati ya timu zetu za bongo atatoboa kwenda robo fainali? Weka maoni yako kwenye komenti tafadhali.

Hawa Ndiyo Real Madrid Waliowafunga Man City Champions League Jana Usiku

Man City wakiwa wanaongo za kwa 2-1 dhidi ya Real Madrid huku zikiwa zimebaki dakika si zaidi  ya tatu walionekana kama ingekuwa ni timu ya tatu ya Uingereza kuifunga Madrid kwenye uwanja wa Bernabeu. Lakini vijana hao wa Mancini badala ya kuinza kampeni yao kwa ushindi walijikuta wakiachwa nyuma na kuwaangalia Madrid wakiibuka na ushindi baada ya Karim Benzema kusawazisha na kisha Cristiano Ronaldo kufunga goli la tatu na la ushindi, goli lililomfanya bosi wao Jose Mourinho kuslide uwanjani akishangilia goli hilo na Ronaldo. This was the real happiness now from Ronaldo BBC football pundit Robbie Savage alikuwa uwanjani huku Bernabeu. (quoting from BBC SPORTS) "Maicon was not at the races at all in the first half at right-back. He was a passenger and it was like City were playing with 10 men. Cristiano Ronaldo kept coming inside him. "In the second-half, Vincent Kompany looked at what was happening and came across to that wing more. Ronaldo did not...

MANCHESTER UNITED VS CHELSEA #EPL TODAY AT OLD TRAFFORD STADIUM

MANCHESTER UNITED vs CHELSEA FC LEO #EPL USIKOSE NA USIKUBALI KUSIMULIWA #TheBattleAtOldTrafford:  Jioni ya leo miamba ya kabumbu la Uingereza inakutana katika mpambano unaotarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua. Manchester United leo wanawakaribisha mahasimu wao Chelsea pale Old Trafford kwenye mchezo wa round ya pili ya Premier League. Ikumbukwe kuwa Katika mchezo wa kwanza walipokutana pale Stamford Bridge Chelsea waliwanyuka Man United 1-0,  goli lililofungwa na Alvaro Morata kwa kichwa. Kuna kama kauadui flani hivi kati ya makocha Antonio Conte wa Chelsea na José Mourinho wa Man United. Na huu ni uhasimu ambao kila mmoja wao anajaribu kuuficha na kuonesha kuwa hawana shida kati yao. Mourinho amenena kuwa game kati ya timu hizi mbili ni ya kawaida kwake kama game nyingine nyingine na hakuna chochote special kuihusu. Lukaku, Rashford, Martial,  Matic,  Pogba, De Gea  na wengineo wanategemewa kuongoza kikosi cha man United leo huku Morata, Fabregas, Pe...