Skip to main content

Cardiff City 3 vs Manchester City 2. Picha 9. Video 1 ya magoli.


Timu ambayo imepanda tu daraja msimu huu huko Uingereza Cardiff City jana wamewaburuza Manchester City kwa magoli 3-2. Fraizer Campbell  alifunga magoli mawili ndani ya dakika nane, kuwahakikishia timu yake ambao walikuwa nyumbani ushindi mnono. Manchester City wamechezea kichapo hicho baada ya wao kuchabanga Newcastle kwa mabao 4-0 wikiend iliyopita katika mechi yao ya ufunguzi wa ligi. 


Campbell alisema haya: "We’ll be the underdogs for a lot of the games this season but, as we showed, we’ve got great determination and hopefully that’ll see us through,” Aliliambia Daily News. Na kuongeza “The most special thing was getting the three points. When you’re a promoted side, you don’t want to wait too long to get any points on the board so today was a massive bonus for us.”








Comments

Popular posts from this blog

MAKUNDI CHAMPIONS LEAGUE NA SHIRIKISHO AFRIKA

Yanga Sc kundi A Klabu Bingwa Afrika na Simba Sc kundi A Shirikisho Afrika. Hapo chini ndio mpangilio wa makundi na timu zake. Je, nani kati ya timu zetu za bongo atatoboa kwenda robo fainali? Weka maoni yako kwenye komenti tafadhali.

Hawa Ndiyo Real Madrid Waliowafunga Man City Champions League Jana Usiku

Man City wakiwa wanaongo za kwa 2-1 dhidi ya Real Madrid huku zikiwa zimebaki dakika si zaidi  ya tatu walionekana kama ingekuwa ni timu ya tatu ya Uingereza kuifunga Madrid kwenye uwanja wa Bernabeu. Lakini vijana hao wa Mancini badala ya kuinza kampeni yao kwa ushindi walijikuta wakiachwa nyuma na kuwaangalia Madrid wakiibuka na ushindi baada ya Karim Benzema kusawazisha na kisha Cristiano Ronaldo kufunga goli la tatu na la ushindi, goli lililomfanya bosi wao Jose Mourinho kuslide uwanjani akishangilia goli hilo na Ronaldo. This was the real happiness now from Ronaldo BBC football pundit Robbie Savage alikuwa uwanjani huku Bernabeu. (quoting from BBC SPORTS) "Maicon was not at the races at all in the first half at right-back. He was a passenger and it was like City were playing with 10 men. Cristiano Ronaldo kept coming inside him. "In the second-half, Vincent Kompany looked at what was happening and came across to that wing more. Ronaldo did not...