Wayne Rooney ameamua kuachana na mpango wake wa kuomba kibali cha uhamisho toka kwenye club yake na hivyo kuondoa kwenye kurasa habari za yeye kutaka kuondoka Manchester United.
Uamuazi huo utamfanya boss wa Chelsea José Mourinho kuachana na mpango wake wa kumshawishi kuhamia club yake ya Chelsea. Kwani hivi karibuni alisikika akisema kwamba anamwachia Rooney aa 48 ili afanye uamuzi.
Ingawaje Roney hajawahi sema kwa nini alitaka kuondoka Old Trafford, mahusiano na club yake hayakuwa mazuri hivi karibuni, baada ya Ferguson. kocha wa zamani kumchezesha kwenye position ambayo siyo yake, kumuacha kwenye mechi muhimu msimu uliopita na kudai kwamba Rooney alomba uhamisho.
Mourinho yeye alisema baada ya mechi yao iliyoisha kwa 0-0, "We are not silly to try something if somebody didn't start it. So I think it is time for the good of everyone to finish the story. For one side, for the other side," he said.
"It depends on this [Rooney's decision]. It depends on his reaction and his feelings. If now he doesn't want to leave, we are out of the thing. But we need to know. We need to know what is happening."
Comments