Skip to main content

Jovvin Bopape Nyingi Aihama Man United na Kwenda Chelsea Baada ya Kufungwa na Liverpool Jana. Ushahidi wa Msg zake Upo.

JOVVIN BOPAPE NYINGI

Huyu ni Jovvin Bopape Nyingi. Ni mkazi wa Arusha maeneo ya Sorenyi. Alijulikana sana kama mshabiki nguli wa Man United tangu kuzaliwa kwake. Lakini jana aliumia sana kwa kitendo cha timu yake ya Man United kuruhusu kichapo cha goli moja dhidi ya Liverpool.

Ilipofika usiku mnamo majira ya kuelekea saa tatu hivi alinitumia texts zifuatazo zikionesha kwamba yeye sio mshabiki wa United tena na kwamba anayofuraha sana kuhamia Chelsea.

Texts zake hizi hapa

(1) Inbox SMS

Jovvinn (+255758466068)
2013/09/01 20:58
Nimeama timu mm ni chelsee kuanza leo

(2) Inbox SMS

Jovvinn (+255758466068)
2013/09/01 21:02
Yah mbaka nitakapo hama ila sijui kama nitabadilika

(3) Inbox SMS

Jovvinn (+255758466068)
2013/09/01 21:07
Nawatakia maisha mema na moyes wenu ila lazma tubebe kombe

(4) Inbox SMS

Jovvinn (+255758466068)
2013/09/01 21:16
Ni uhamuzi bora nashanga sasa napata raha nakushauri uje uku kwa sababu kuna matunda ya mtini nayalio dondoka

Endapo unataka kuthibitisha hayo namba yake hiyo hapo inaonekana kwenye texts zake, waweza mpigia au text.

Ila swali ni kwamba, Na Cheslea wakifungwa atahamia timu gani? Muulize hilo swali. 

Comments

Popular posts from this blog

MAKUNDI CHAMPIONS LEAGUE NA SHIRIKISHO AFRIKA

Yanga Sc kundi A Klabu Bingwa Afrika na Simba Sc kundi A Shirikisho Afrika. Hapo chini ndio mpangilio wa makundi na timu zake. Je, nani kati ya timu zetu za bongo atatoboa kwenda robo fainali? Weka maoni yako kwenye komenti tafadhali.

Hawa Ndiyo Real Madrid Waliowafunga Man City Champions League Jana Usiku

Man City wakiwa wanaongo za kwa 2-1 dhidi ya Real Madrid huku zikiwa zimebaki dakika si zaidi  ya tatu walionekana kama ingekuwa ni timu ya tatu ya Uingereza kuifunga Madrid kwenye uwanja wa Bernabeu. Lakini vijana hao wa Mancini badala ya kuinza kampeni yao kwa ushindi walijikuta wakiachwa nyuma na kuwaangalia Madrid wakiibuka na ushindi baada ya Karim Benzema kusawazisha na kisha Cristiano Ronaldo kufunga goli la tatu na la ushindi, goli lililomfanya bosi wao Jose Mourinho kuslide uwanjani akishangilia goli hilo na Ronaldo. This was the real happiness now from Ronaldo BBC football pundit Robbie Savage alikuwa uwanjani huku Bernabeu. (quoting from BBC SPORTS) "Maicon was not at the races at all in the first half at right-back. He was a passenger and it was like City were playing with 10 men. Cristiano Ronaldo kept coming inside him. "In the second-half, Vincent Kompany looked at what was happening and came across to that wing more. Ronaldo did not...