Wachezaji wa Hull City wakishangilia moja ya magoli yao baada ya kuwachabanga Fulham 6-0 jana kwenye mchezo wa Pemier League huko Uingereza, huku golikipa wa Fulham akionekana kwenda nyavuni kuokota mpira.
West Ham 3 vs West Brom 3
Aston Villa 1 vs Swansea 1
Man City 1 vs Crystal Palace 0
Norwich 0 vs Man United 1
Cardiff 2 vs Sunderland 2
Matokeo mengine ya mechi za EPL za jana ni kama inavyoonesha hapo chini
West Ham 3 vs West Brom 3
Aston Villa 1 vs Swansea 1
Man City 1 vs Crystal Palace 0
Norwich 0 vs Man United 1
Cardiff 2 vs Sunderland 2
Comments