Mashabiki wa Chelsea wakiishangilia timu yao.
Skrtel akifunga goli baada ya kutokea piga nikupige langoni mwa Chelsea
Skrtel akishangilia goli lao la kwanza kwa upande wa liverpool
Chelsea ambao wako nyumbani walirudi kwa kasi na kufunga mabao mawili yaliyowekwa nyavuni na Hazard na Eto'o na kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa 2-1.
Comments