TFF KUPELEKA MASHABIKI HARARE, ZIMBABWE! JE, ITASAIDIA TIMU KUSHINDA UGENINI?
TFF wanatarajia kupeleka mashabiki wa soka toka bongo kwenda Harare, nchini Zimbabwe ili kupa sapoti timu ya taifa kwa ajili ya kupata ushindi. Je, hiyo ni dawa ya kupata ushindi ugenini?
Comments