General anager wa Wakwaka Hotel Gabriel Nizeyimana amesema kwamba Star huyo wa Bongo Diamond Plutnumz amethibitisha upatikanaji wake mwezi Septemba lakini bado kukubaliana tarehe.
"Tumepanga show hii mwezi Septemba lakini bado hatujakubaliana tarehe kwa sababu bado yuko na shows nyingine, lakini hakika atakuja." Alisema Nizeyimana.
"Diamond amefanya kolabo kadhaa na wasanii wa Nigeria mfano Davido. Ni mwanamuziki anayependwa na aliyeitikisa Afrika kwa muziki wake na tunataka wamalawi waushuhudie muziki wake pia." aliongeza.

Comments