Joseph Haule aka Professor Jay alitangazwa mshindi katika kinyang;anyiro cha ubunge wa jimboni Mikumi huku yeye akiwa kwa tiketi ya Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA. Yafuatayo ndiyo aliyoandika kwenye ukurasa wake wa facebook.
Naanza Kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma kwa kuniwezesha kufika mahali hapa nikiwa mzima na mwenye afya njema na kunipigania katika kila vikwazo na changamoto mbalimbali nilizopitia, Pili napenda kuwashukuru sana wananchi wote wa jimbo la langu MIKUMI kwa kuniamini, Kunichagua na kunipa Heshima hii ya kipekee na dhamana hii ya kuwatumikia, Nawaahidi nitashirikiana nanyi kwa unyenyekevu mkubwa, kwa nguvu zangu zote na uwezo wangu wote bila kujali itikadi za vyama vyetu, Maana Lengo letu kuu ni kuleta mabadiliko na maendeleo ili tuweze kuijenga MIKUMI tunayoitaka, Mwisho kabisa napenda kuwashukuru sana Ndugu, Jamaa na Marafiki zangu wote kwa kuonyesha Upendo na ushirikiano wa nguvu kwa namna moja ama nyingine mpaka kunifikisha hapa nilipo sasa...
MIKUMI MPYA KWA MAENDELEO YA WATU WOTE! Mungu awabariki sana, ASANTENI SANA!!!!
Mp JOSEPH HAULE....

Comments