Kama picha inavokuonesha hapo inaonekana TANESCO wamegundua mbinu za kuwajibishana kabla Rais Dr JPM hajawafikia. Vigogo saba ambao ni wahasibu wametumbuliwa na kutangazwa rasmi jana.
Hongereni TANESCO ukanda wa Dar es salaam. Bado wale wa mikoani hasa Jiji la Arusha ambako kuna kero ya umeme isiyopimika.
Comments