Fahamu kwa Ufupi Historia za Manchester United na Leicester City kuhusu Ushiriki wao wa Community Shield aka Ngao ya Hisani
Leicester City
- Hii ni mara ya kwanza kwa Leicester City kuonekana katika mashindano haya ya Community Shield tangu mwaka 1971, ambapo waliwafunga Liverpool 1-0 kwenye uwanja wa Filbert Street, wakati walipokuwsa washindi wa Second Division ambayo kwa sasa inajulikana kama Championship.
- Safari ya mwisho ya Leicester ya Wembley walijishuhudia wakishinda League Cup February mwaka 2000 , wakiwafunga Tranmere 2-1.
- Wameshinda mara tatu na droo moja katika uwanja wa Wembley. Walidroo 1-1 katika League Cup final dhidi ya Middlesbrough mwaka 1997 kabla ya kushinda mechi ya marudiano huko before Hillsborough).
- Na hii ni mara ya kwanza kwa Claudio Ranieri kuwa kocha kwa timu inayocheza uwanja wa Wembley Stadium.
- Vardy amefunga mara moja na kutoa assist moja katika mechi tatu alizochezea England katika uwanja wa Wembley.
Manchester United
- Hii itakuwa ni mara ya 30 kwa Manchester United kuonekana katika Community Shield. Wakiwa wameshinda kombe hili mara 20 hey've won the trophy on 20 (16 outright wins and four shared titles).
- United wamesinda Community Shield mara tano katika ushiriki wao wa mara sita katika miaka ya (2007, 2008, 2010, 2011, 2013).
- Pia wameshinda mechi zao nne za mwisho pale Wembley tangu walipopoteza Champions League final dhidi ya Barcelona mwaka 2011.
- Jose Mourinho ameshindwa kushinda Community Shield mara tatu katika mechi zake nne akiwa manager wa Chelsea , ikiwemo mechi ya msimu ulopita dhidi ya Arsenal huku mechi nyingine kati ya tatu alizopoteza akifungwa kwa penati na Manchester United mwaka 2007.
- Manchester United wamepoteza mara moja tu katika mashindano yao yote ya mechi 15 waliyokutanana Leicester, ingawaje hii inabaki kuwa kumbukumbu ya ushindi mzuri kwa Leicester City ya 5-3 September 2014 (W11 D3).
- Zlatan Ibrahimovic amecheza katika uwanja wa Wembley mara moja, wakati Sweden walipochapwa 1-0 na England November 2011.
- Natumaini umeifurahia post hii. Asante
Comments