Mwanamuziki nguli wa Bongo fleva Tanzania, amekiri kwamba mke wake, ambaye ni mkubwa kumzidi yeye, hupata wivu dhidi ya mashabiki wake wa kike.
Alilisema hili wakati wa He TV interview, “ninaposhoot video, huwa pale wakati wote, lakini pia huweza kunnipigia hata zaidi ya mara 50. Mara nimwonyeshapo video, na aangaliapo baadhi ya scenes ambazo nipo na wanawake, huniuliza kwanini nilifanya hivyo. Lakini huwa namwelewesha kwamba mimi ni mwanamuziki, na hiyo ni sehemu ya kazi yangu.''
Aliendelea, ''Kuna wakati nilikuwa ulaya kwa ajili ya ziara, na nika tweet, 'where my ladies at....' hilo lilimchukiza na akaniuliza kwa nini niliwaulizia wanawake, kwamba nawataka waje wakutane nami. Nikamwambia hiyo haimaanishi chochote, na ni sehemu tu ya lugha ya usanii.

Comments