Mchezaji wa under 20 wa Ghana Daniel Amoah anasikia faraja kujiunga kwake na Azam FC akitokea Ghana Premier League team, Medeama SC.
Mchezaji huyo anayekipiga nafasi ya ulinzi mwenye miaka 18 alikamilisha uhamisho wake kwenda Chamazi Stadium siku ya Ijumaa akisaini kandarasi ya miaka mitatu.
Comments