Man United wamepiga mpira wa hali ya juu hadi najiuliza mpira huu wangeucheza kila mechi labda wangekuwa wanang'ang'ania kama sio nafasi ya kwanza basi ya pili na sio ya sita kama ilivyo sasa. Wakiendelea na kasi hii bila kuipunguza baada ya mechi mbili zijazo basi kuna nafasi flani pale juu kwenye top four lazima wataichukua. That was a fantaatic football display with beautiful possession, creativity and goals from Mkhitaryan. Zlatan and Mata. Bila kusahau a wonderful job from Mourihno the boss.
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freemon Mbowe, amehoji bungeni hatua ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kulindwa na polisi tisa na kutembea na magari ya ving’ora asubuhi mpaka jioni. UNAIONAJE HIYO!?
MAJI YAKIFIKAGA SHINGONI Staa wa filamu Jackline Wolper, amesema sasa hivi ameamua kuanza maisha ya kistaa kwa kutoanika mambo yake binafsi kwenye mitandao ya kijamii. Una neno kwake?