Man United wamepiga mpira wa hali ya juu hadi najiuliza mpira huu wangeucheza kila mechi labda wangekuwa wanang'ang'ania kama sio nafasi ya kwanza basi ya pili na sio ya sita kama ilivyo sasa.
Wakiendelea na kasi hii bila kuipunguza baada ya mechi mbili zijazo basi kuna nafasi flani pale juu kwenye top four lazima wataichukua.
That was a fantaatic football display with beautiful possession, creativity and goals from Mkhitaryan. Zlatan and Mata. Bila kusahau a wonderful job from Mourihno the boss.
Brings You Global News!
Comments