Katika harakati za kutokomeza matatizo ya minyoo na magonjwa ya kichocho serikali imetoa chanjo jijini Arusha Jana kwenye mashule mbalimbali likiwa ni zoezi la kitaifa ambalo linaenda kwa awamu kadhaa.
Jana nilifanikiwa kushuhudia zoezi hilo likifanyika katika shule ya Highridge iliyopo maeneo ya Njiro/PPF karibu na General tyre.
Utoaji huo wa dawa hizo ulikuwa ni kwa wanafunzi wa kuanzia shule ya awali hadi darasa la saba.
Nikiongea na mwalimu Alia John wa Highridge kuhusu changamoto ya zoezi hilo alisema, "Kuna baadhi ya watoto wachache sana walitapika baada ya kupewa dawa hizo, na wazazi wachache kukosa imani na dawa hizo na kujaribu kuzui watoto wao wasipewe lakini mara baada ya kupewa elimu walikubaliana na zoezi hilo kufanyika kwa watoto wao." Alisema mwalimu Alia John ambaye alikuwa mmojawapo wa maofisa walioshiriki katika zoezi hilo.
Britney Spears keeps it busy in Sin City. The "Scream & Shout" singer spent last weekend in Las Vegas but she wouldn't have come at all if her much-discussed Vegas residency was not a "done deal," the Las Vegas Sun reported. With new boyfriend David Lucado in tow, Spears flew to Vegas Friday and checked into Caesars Palace, the Sun reported. She attended a charity Cirque du Soleil performance, sneaking in just as the curtain went up and leaving just before the show ended. Spearstweeted a photo of herself, Lucado and her manager, Larry Rudolph, smiling in their seats together. Spears' management and production team met with executives at Caesars Entertainment Saturday, which owns Planet Hollywood, and then checked out the PH Live theater, where Brit will have her residency. Spears, Lucado and her entourage then lunched at the Meatball Spot restaurant, owned by Top Chef Seattle contestant Carla Pellegrino. The couple chowed down on meatball s...
Comments