Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2017

Fellain starts

Ronaldo won't make a deal

Neymar's father to make some cash out of his son

Ramos wants Neymar to leave

What is up with Xavi, Iniesta, Messi and Piqué?

Matic to bolster United's midfield

Neymar and Sanchez

Nemanja Matic close to United

Is Neymar really worth?

This is the amount of cash Barcelona will have to pay to sign Griezman

Late Night: Football Transfer News

Mzee Majuto Anena Kuhusu Afya yake

“Nilifanyiwa upasuaji wa Hernia (ngiri) , na nimeshukuru mambo yamekwenda vizuri hivi sasa nina nafuu kubwa na mambo yakienda sawa natarajia kurudi kazini siku chache zijazo kuendelea kutoa burudani kwa mashabiki wangu,” - Mzee Majuto Source:  East Africa Television

Today's Football News Including International Champions Cup

12 football News that happened recently. Habari 12 za kandanda zilizojiri hivi punde

MAGUFULI AKUMBUKA

MAGUFULI AKUMBUKA: Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuonyesha Mkewe Mama Janeth Magufuli kitanda alichokuwa akitumia kulala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera. Dkt Magufuli amemweleza mkewe kuwa alivunja hilo dirisha na mpaka leo halikutengenezwa ambapo leo hii amekabidhi kiasi cha shilingi milioni moja ili kukarabati dirisha na madirisha mengine ya shule hiyo. Dkt Magufuli yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili mkoani humo. Picha/Ikulu, Tanzania Source: #bbcswahili

Aliyoyanena Zitto Zuberi Kabwe kuhusu kusitishwa kwa misaada

Tupeane maarifa tu kidogo. Duniani kote Nchi inapokatiwa Misaada watawala hutumia fursa hiyo kujenga hoja za kizalendo kuwa hatuendelei kwa sababu tumekatiwa misaada. Zimbabwe ni mfano mzuri sana juu ya jambo hili. Burundi ndio hali inayoendelea hivi sasa. Hapa Tanzania hali ya Uchumi ni mbaya sana, mbaya mno. Uzalishaji umeshuka, kote mashambani na viwandani. Uzalishaji kwenye kilimo umeshuka mpaka kufikia 0.6% kwa mwaka kutoka 2.5% kwa mwaka, Uzalishaji Viwandani umeshuka kwa karibu 50%. Mapato ya wananchi yameshuka sana. Hivyo kila mwananchi anajua kuwa Serikali ya CCM imeshindwa kabisa kuendesha uchumi wa nchi. Kutaka misaada ikatwe ni kuwapa watawala hawa kisingizio cha kushindwa kuendesha Uchumi kwa sababu ya sera mbaya. Misaada ikikatwa Watawala watasema "hatuendelei Kwa sababu tumekatiwa misaada, kwa sababu ya vita ya kiuchumi (msamiati wa kimkakati ambao washaanza kuutumia)", wakati hali halisi ni kuwa wameshindwa kuendesha Uchumi. Kwanini muwape watawala visingiz...

Updates on Football News