Msanii wa maigizo ya vichekesho nchini maarufu kama Joti nae ameliaga kundi la makapera baada ya kufunga ndoa. Msanii Joti pia ni maarufu sana katika matangazo ya mtandao wa Tigo. Joti pia ni maarufu sana katika kuigiza sehemu mbalimbali kwani mara nyingi huigiza kama kijana wa kawaida, babu, mtoto na wakati mwingine huigiza kama msichana.
Hongera sana Joti kwa kuoa! May your marriage last forever!
Comments