Mbunge was Arusha mjini Mh Godbless Lema afunguka na kuzungumza juu ya kitendo cha David Kafulila kuhama chama cha CHADEMA.
Amesema kuwa upo uwezekano mkubwa wa kumshauri na mke wake ambaye ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA kufanya kama alivyofanya yeye.
David Kafulila alitangaza leo kuhama chama cha CHADEMA kwa madai kuwa vyama vya upinzani havina nia thabiti ya kupambana na ufisadi.
Je, ni kweli kuwa vyama vya upinzani havina nia thabiti ya kupambana na ufisadi? Toa maoni yako!
Comments