Staa wa bongo movie Jacqueline Wolper amefunguka kwa kusema kuwa tangu ameanzisha biashara yake ya ushonaji anapata wateja mbalimbali ambao ni wa kawaida na kuwa ni ngumu sana kupata mastaa wenzake badala yake anaowapata hawazidi hata watatu.
Kwa mujibu wa #MuungwanaBlog, Wolper amedai kuwa pale mtu anapoanzisha biashara wengine hawapendelei badala yake hununa na kugoma kutoa ushiriano au support.
Jamani wana bongo movie mnashindwaje kumuunga mkono mwenzenu? Au mnataka akale polisi? Sio fresh hivyo. Acheni hizo.
Comments