Jengo la kituo cha habari cha Clouds Media laungua moto. Tazama picha jeshi la zimamoto wakiudhibiti moto huo
CLOUDS MEDIA TANZANIA:
Jeshi la zima moto limefika katika jengo la kituo cha habari cha Clouds Media Group mjini Dar es salaam kudhibiti moto uliozuka katika mojawapo ya vyumba vya kurushia matangazo ya televisheni.
Chanzo cha moto hadi sasa bado hakijafahamika.Tayari moto umeshadhbitiwa.
Hamna majeruhi wala vifo na thamani ya uharibifu haijafahamika bado
#abelrk.blogspot.com
Comments