Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha atangaza kujivua Uanachama wa CHADEMA kwa madai kuwa viongozi wa chama hicho hawana nia ya dhati ya kuunda serikali na kushika dola.
- JamiiForums imefanya jitihada za kuwasiliana na CHADEMA ambapo wamekiri kuondoka kwa Masha na wamesema watatoa tamko baadae kuhusiana na hilo.
Comments