Skip to main content

Paul Pogba amwambia Mourinho: Sitaki kupumzishwa!

Kiungo wa Manchester United Paul Labile Pogba amemsihi meneja wake Jose Mourinho asimpumzishe kwa sababu ya kuhifia kwamba bado hayuko fit kimchezo ama kuhofia kwamba atamchosha.

Pogba ambaye ametoka kupata nafuu ama kupona kutokana na majeraha aliyoyapata zaidi ya miezi miwili aliliambia gazeti la Manchester Evening News kuwa kuelekea mechi na Arsenal ni lazima apate nafasi ya kucheza muda wa kutosha kwani amekuwa mwanasoka kwa sababu hiyo na pia anafurahia kucheza. 

Mourinho hatakuwa na budi kumchezesha Pogba muda wa kutosha ukizingatia kutokuwa fit kwa Nemanja Matic na Fellaini. Na Pogba ambaye ameahacheza dakika 90 katika mechi 2 amekuwa mhimili mkubwa kwenye kikosi cha United katika eneo lake la kiungo! Akuleta ari kubwa ya mchezo kwa wenzake.

Kikosi cha Manchester United kitasafiri kwenye Emirates kukwaana na Arsenal siku ya Jumamosi katika kampeni za kuwania ubingwa wa Ligi ya Uingereza. Kikosi hicho kilicho chini ya Jose Mourinho kipo Katika nafasi ya pili nyuma ya Manchester City mahasimu na watani wao wa jani na mahasimu hawa watakutana mara baada ya mechi ya Arsenal na Man United.

Comments

Popular posts from this blog

MAKUNDI CHAMPIONS LEAGUE NA SHIRIKISHO AFRIKA

Yanga Sc kundi A Klabu Bingwa Afrika na Simba Sc kundi A Shirikisho Afrika. Hapo chini ndio mpangilio wa makundi na timu zake. Je, nani kati ya timu zetu za bongo atatoboa kwenda robo fainali? Weka maoni yako kwenye komenti tafadhali.

Hawa Ndiyo Real Madrid Waliowafunga Man City Champions League Jana Usiku

Man City wakiwa wanaongo za kwa 2-1 dhidi ya Real Madrid huku zikiwa zimebaki dakika si zaidi  ya tatu walionekana kama ingekuwa ni timu ya tatu ya Uingereza kuifunga Madrid kwenye uwanja wa Bernabeu. Lakini vijana hao wa Mancini badala ya kuinza kampeni yao kwa ushindi walijikuta wakiachwa nyuma na kuwaangalia Madrid wakiibuka na ushindi baada ya Karim Benzema kusawazisha na kisha Cristiano Ronaldo kufunga goli la tatu na la ushindi, goli lililomfanya bosi wao Jose Mourinho kuslide uwanjani akishangilia goli hilo na Ronaldo. This was the real happiness now from Ronaldo BBC football pundit Robbie Savage alikuwa uwanjani huku Bernabeu. (quoting from BBC SPORTS) "Maicon was not at the races at all in the first half at right-back. He was a passenger and it was like City were playing with 10 men. Cristiano Ronaldo kept coming inside him. "In the second-half, Vincent Kompany looked at what was happening and came across to that wing more. Ronaldo did not...