PSG walifanya karamu ya magoli Jana Usiku kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwawasha Celtic kwa 7-1 katika mchezo wa kundi B. Walikuwa ni Celtic walioanza kuliona lango na kuwafanya PSG wachachamae kutafuta kusawazisha na hatimaye ushindi na yaliyotokea ndio hayo. PSG wameweka rekodi ya kufunga magoli mengi kwenye hatua ya makundi ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Brings You Global News!
Comments