Brings You Global News!
Brings You Global News!
Mcheza filamu maarufu wa Bongo Movie Wema Sepetu leo ametangaza rasmi kuhama CHADEMA na kurudi CCM. Amedai kwamba hawezi kukaa kwenye nyumba inayomnyima amani. Aliyaandika hayo leo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Comments