Magoli yaliyofungwa na Aguero, Kompany na David Silva yaliwazamisha vijana wa Wenger, Arsenal na Kushindwa kabisa kufurukuta mbele ya miamba ya Pep Guardiola na kushuhudia man city wakitwaa Taji la EFL mbele yao katika dimba ya Wembley.
Taji hilo linakuwa ni la kwanza tangu kwa Pep tangu awasili Etihad huku pia akifanya vizuri kwenye premier League na akitarajia kutwaa ubingwa huo.
Comments