CHELSEA WAKABIDHI UBINGWA KWA MAN CITY
Katika mchezo uliopigwa leo jioni tumeshuhudia Manchester City wakijichukulia pointi 3 kiulaini toka kwa Chelsea. Mchezo ulikuwa kama ni wa mazoezi kwa Man city ambao ni vinara wa ligi. Walimiliki mpira kwa asilimia kubwa sana na kuna wakati ilifikia hata man city 92% kwa Chelsea 18%. Kiukweli ni mechi ambayo haikuwa na ushindani kabisa.
HT: 0-0. Lakini kipindi cha pili ndio kilianza na goli lililofungwa na Fernando Silva. Goli lililodumu hadi mwisho wa mchezo.
Comments