DIAMOND PLATINUMZ APEWA DILI NA FIFA WORLD CUP 2018
Msanii wa Bongo flava nchini Tanzania Dion Diamond Platinumz amekula dili ya ukweli toka Fifa ili aweze ku perform kwenye ufunguzi wa mashindano ya fainali za Kombe la Dunia yatakayofanyika nchini Russia kuanzia Juni 14 na kumalizika Julai 15.
Diamond atashirikiana na Jason Derulo wa Marekani pamoja na wanamuziki wengine maarufu wa Afrika.
Comments