FT: CHELSEA 2 CRYSTAL PALACE 1
Chelsea walipambana jana na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 2 yaliyofungwa na Mbrazili Willian na huku lingine likitolewa zawadi baada ya Palace kujifunga huku Patrick akitupia moja kwa timu yake.
Katika mzunguko wa kwanza the Blues walilala mbele ya palace na hivyo kuwafanya Chelsea kulipa kisasi jana.
Katika mchezo huo Cesc Fabregas alitangazwa kuwa man of the match.
Chelsea sasa wamepunguza pengo la pointi kati yao na Tottenham Hotspur nakuwa 2 pekee huku wakisalia nafasi yao hiyo hiyo ya 5.
Comments