KUMBE N'GOLO KANTE ALIZIMIA MAZOEZINI SIKU 2 KABLA YA MECHI DHIDI YA MAN CITY
Kiungo mahiri wa Chelsea Ng'olo kante alizimia kwenye mazoezi ya Chelsea Football Club na kuleta taharuki kubwa kwa wachezaji wenzake na kocha Antonio Conte. Baadaye dokta wa timu alikuja Ssekunde chache baada ya tukio hilo. Lakini alipofanyiwa uchunguzi wa kina aligundulika yuko fit bila tatizo lolote la moyo. Pia inasemekana hali hiyo huwenda ilimtokea kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa ya baridi. Siku mechi ya na Man City alionekana kutokuwa fit tena na hivyo meneja wake kuamua kumpumzisha. Lakini anatarajiwa kurudi tena uwanjani siku ya Jumamosi wakati Chelsea watakapovaana na Crystal Palace.
25. Stephane Ruffier, Saint-Etienne Had Stephane Ruffier not sustained a groin injury in 2011, Monaco might never have been relegated to Ligue 2. But he did, and they were, and that summer the then-24-year-old goalkeeper joined Saint-Etienne, rebuffing Manchester City in the progress. This season he played all 38 Ligue 1 matches for Les Verts for a second season in succession, conceding just 32 goals as his side finished a surprising fifth in the standings and qualified for the Europa League. 24. Pepe Reina, Liverpool Only Joe Hart kept more Premier League clean sheets than Pepe Reina in 2012-13. In a season that saw Liverpool finish a disappointing seventh in the English top-flight, the 30-year-old managed to keep things respectable from a defensive standpoint, conceding only 34 goals and stopping 88 per cent of the shots he faced. To finish the season he conceded just a single goal in his last four matches. 23. Mariano Andujar, Catania Only Parma managed ...
Comments